Pages

YAKIYOMO KATIKA MOVIE MPYA ya Hit Back... ya Yusuf Mlela Na Hemed 'PHD' Ndani

Nov 30, 2012



Read more ...

NEW VODACOM PLAN FOR YOU

Nov 30, 2012
Photo: Furahia Huduma za BlackBerry Internet Service (BIS) kwa gharama nafuu kutoka Vodacom.

Furahia intaneti isiyo na kikomo na yenye spidi na Huduma zote za BlackBerry kuanzia e-mail, kuperuzi mitandao ya kijamii na BBM!

Kwa kianzio cha Tsh500 tuu!

Kazi ni kwakoFurahia Huduma za BlackBerry Internet Service (BIS) kwa gharama nafuu kutoka Vodacom.

Furahia intaneti isiyo na kikomo na yenye spidi na Huduma zote za BlackBerry kuanzia e-mail, kuperuzi mitandao ya kijamii na BBM!

Kwa kianzio cha Tsh500 tuu!

Kazi ni kwako
Read more ...

HII NAYO NI STYLE MPYA YA KUVAA

Nov 29, 2012
Read more ...

Polisi Wajeruhi Kwa Mabomu Dar

Nov 29, 2012

  Na: Joseph Zablon Dar 

POLISI wamewajeruhi watu watatu kwa mabomu, mmoja kati yao akiwa katika hali mbaya katika matukio mawili tofauti ya kusambaratisha mikusanyiko iliyotokea Tegeta, Dar es Salaam na Rufiji mkoani Pwani.

Aliyejeruhiwa vibaya ametambuliwa kuwa mkazi wa Tegeta, John Paul ambaye baada ya tukio hilo alipelekwa katika Hospitali ya Mwananyamala na baadaye Muhimbili.Tukio la Tegeta lilitokea wakati polisi walipokuwa wakiwatawanya wananchi waliokuwa wakipinga operesheni ya kuwaondoa katika hifadhi ya barabara katika eneo hilo saa nne asubuhi baada ya wafanyakazi wa Kampuni ya Udalali ya Mwankinga wakiwa na polisi waliyolikamata gari la mkazi mmoja wa eneo hilo.Hali hiyo ilizua ubishi na baadaye vurugu baada ya wakazi hao kutaka gari hilo lisichukuliwe na polisi.

Vurugu hizo ziliwafanya polisi kutumia nguvu kuwatawanya wakazi hao, kazi ambayo hata hivyo, haikuwa rahisi kwani nao walikuwa wakijibu kwa kuwarushia mawe na fimbo, hali iliyodumu kwa saa kadhaa na kufanya eneo hilo kugeuka uwanja wa mapambano kusababisha maduka kufungwa na mali kuharibiwa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Chales Kenyela alithibitisha kutokea kwa vurugu hizo na kueleza kuwa, kijana huyo alijeruhiwa shavuni na kitu ambacho bado hakijafahamika na kupelekwa katika Hospitali ya Mwananyamala kwa matibabu.
Kamanda Kenyela alisema kuwa, polisi bado wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo na taarifa zaidi zitatolewa baadaye. Alisema awali, wafanyakazi wa kampuni hiyo wakiwa na polisi, walifika eneo hilo na kuanza operesheni ya kuondoa magari.

“Walipokamata gari la mmoja wa wakazi wa eneo hilo wananchi hao walipinga na kuanza kuwafanyia vurugu polisi ambao walijibu mapigo kwa kupiga mabomu ya machozi na kuwatawanya. Kijana huyo alionekana baadaye akiwa amejeruhiwa na kupelekwa Mwananyamala,” alisema. Katibu wa Afya katika Hospitali ya Mwananyamala, Edwin Bisakala alithibitisha kupokewa kwa majeruhi huyo na kudai kuwa uchunguzi wa awali umeonyesha kuwa alijeruhiwa kwa bomu.
Bisakala alisema hali ya majeruhi huyo ilikuwa mbaya na uongozi wa hospitali ulilazimika kumpeleka Muhimbili kwa uchunguzi na matibabu zaidi.Mmoja wa mashuhuda wa vurugu hizo ambaye hakutaka kutaja jina lake alisimulia jinsi eneo hilo lilivyokuwa: “Polisi wanarusha mabomu na wananchi wanawarushia mawe, ilikuwa tafrani kubwa hapa.”
Alisema hali hiyo iliwafanya polisi wajibu kwa kupiga risasi hewani na kufyatua mabomu ya machozi hali iliyozua taharuki na baada ya watu kutawanyika, kijana huyo alionekana akiwa ameanguka chini, huku damu zikimvuja.

Ofisa Habari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Aminiel Eligaeshi alithibitisha kufikishwa kwa kijana huyo katika hospitali hiyo akimtaja kwa jina la John Massawe. Alisema alikuwa amejeruhiwa vibaya kichwani.
Read more ...

ASKARI ATIMULIWA KWA KU DO...NA MAHABUSU

Nov 29, 2012
]

 JESHI la Polisi mkoani Mbeya limemfukuza kazi askari wake Enock Daffa (22) kwa tuhuma za kufanya  mapenzi na mtuhumiwa wa kike mwenye umri wa miaka 25 katika Kituo cha Polisi cha Mji mdogo wa Tunduma, Wilaya ya Momba, mkoani hapa. 

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Athuman Diwani, askari huyo alitenda kosa hilo Novemba 21,2012 na kwamba mtuhumiwa aliyefanya naye mapenzi alikuwa akikabiliwa na kosa la wizi.
 
Kamanda Athumani alisema kuwa mbali ya kufukuzwa kazi askari huyo tayari amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mbozi ili sheria iweze kuchukua mkondo wake.

Aidha alisema kuwa hali kama hiyo haitaweza kuvumiliwa na Jeshi la Polisi na kwamba atakayebainika kufanya tukio kama hilo adhabu yake itakuwa ni kufukuzwa kazi.
 
Kamanda huyo alitoa wito kwa askari polisi kufanya kazi kwa kufuata sheria na kanuni za Jeshi la Polisi kama mwongozo unavyowaagiza ili kulinda maadili ya Jeshi la Polisi ambacho ndicho chombo kinachotumika na wananchi katika kuzisimamia sheria.
 
Akizungumzia tukio hilo, baba mzazi wa askari huyo alisema kuwa kitendo alichofaya mtoto wake si cha kiungwana ambacho pia kimetia fedheha familia yake pia kwa jeshi la Polisi ambalo limepewa dhamana ya kutunza usalama wa raia na mali zake.
Read more ...

MWANAFUNZI AMWAGIWA MAJI YA MOTO KWA KUGOMBEA MVULANA

Nov 29, 2012
 
HII ni picha ya tukio la kusikitisha anbapo mwanafunzi mmmoja mbaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja alipomwagiwa maji ya moto na mwenzake huku chanzo kikisemekana kuwa ni MVULANA ambae alikuwa akitembea nao wote wawili kwa wakati mmoja!!

Hivi namna hii kweli wananfunzi wetu mnaelekea wapi jamani?
Read more ...

ZAMARADI WA (take one )KUTOKA CLOUDS TV APATA PIGO KALI

Nov 28, 2012

 tangazaji wa Clouds Fm na Clouds Tv (take one ) Zamaradi Mketema, amefiwa na mama yake mzazi aliekuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kansa kwa muda mrefu.
Read more ...

TAHARUKI YAZUKA KATIKA MAZISHI YA SHARO

Nov 28, 2012

Mama Yake Hussein Sharo Millionea Akilia Kwa Uchungu


Nape akizungumza na wananchi waliohudhuria msibani 


Mwili wa marehemu Sharo Millionea ukiwa umebebwa 


Meneja wa Sharo anayejulikana kwa jina la HK akizungumza 


Read more ...

PICHA ZAIDI KATIKA MAZISHI YA SHALLO MILLIONARE

Nov 28, 2012

 Humu ndimo amelala mpendwa wetu marehemu Sharo Milionea 
 Imam akiongozo sala ya maiti
 Ndugu jamaa na marafiki waliojumuika katika dua
 Dua ikiendelea
Umati wa watu ulofika kumsindikiza mpendwa wetu marehemu Sharo Milionea kuelekea nyumba yake ya milele
 Umati wa watu mchana huu katika mazishi ya marehemu Sharo Milionea Muheza, Tanga
Rafiki kipenzi na mwigizaji nguli wa Tanzania Mzee Majuto akiwa ameshikiliwa mkono huku wakielekea kwenye mazishi mchana huu Muheza Tanga.
Hapo ndipo atalala marehemu Sharo Milionea
Read more ...

LIVE:NI PICHA ZA MAZISHI YA SHARO HUPA TANGA

Nov 28, 2012
 JENEZA LENYE MWILI SHARO
 MZEE MAJUTO AKISITIKA


KABURI TAYARI KWA MWILI WA SHARO KUZIKWA 
Read more ...

PICHA 16 KUTOKA MAKABURINI KINONDONI KTK MAZISHI YA BIG JOHN

Nov 28, 2012
HIZI ni picha 16 miongoni mwa picha nyingi zinazoonyesha jinsi mazishi ya John Stephano Maganga yalivyofanyika leo mchana kwenye makaburi ya Kinonndoni.

Katika picha hizi utashuhudia matukio tofauti na namna watu walivyosindikiza John Maganga, wengine wakionekana kweli msiba umewafika, wengine kama wako kijiweni na wengine kama wako kwenye sherehe fulani. Zitazame kwa makini labda na wewe utagundua kitu fulani.
 















Read more ...

KAWA HALI HII SHARO ASINGEPONA KWENYE AJALI CHEKI PICHA KAMILI KUTOKA ENEO LA TUKIO

Nov 27, 2012


Gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza  mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga.
Baadhi ya watu wakiliangalia gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza  mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga.
Read more ...

SHARO MILLIONARE BAADA YA AJARI ALIFANYIWA KITU MBAYA

Nov 27, 2012
Kwa habari zilizopo ni kwamba baada ya ajali ilyomtokea Msanii wetu kipenzi cha wengi Hussein Mohammed Mkieti maarufu kama Sharo Millionaire watu wenye roho mbaya zisizofanana na za watu walivyofika katika eneo la tukio na kubaini kuwa msanii huyo ameaga dunia walimpekua kila kitu alichokuwa nacho mfukoni na kutokomea navyo na pia waling'oa vitu flani vya gari na kuondoka navyo.
 Haya ni mambo ambayo yanatokea sana pindi zinapotokea ajali imekuwa ni kitu cha kawaida sana kwa Hawa wanadamu wa sasa.
kwa mujibu wa maelezo ya kina kutoka kwa rafiki wa karibu sana na Marehemu ambaye pia ni mwigizaji mchekeshaji maarufu kama KITALE ameelezea kile ambacho kilikuwa kinampeleka Sharo Millionaire Nyumbani kwao TANGA kuwa alikuwa anampelekea mama yake hela za Biashara ambazo zilikuwa shilingi Million Sita (6 000 000Tshs).
Kama utakuwa ni mtu mwenye busara utasikitika sana kuwa ni kiasi gani kijana huyo alikuwa akimjali mama yake tofauti na vijana wengi wa sasa ambao wamekolewa na starehe na kuwasahau wazazi wao ila kwa kazi ya Mungu inawezekana pia Hela zote hizo wameziiba hao Majangili wasiokuwa binadamu na wametokomea nazo.
Ni pigo kubwa sana kwa mama wa Sharo Millionaire, Familia yake, Tasnia ya filamu na Muziki lakini pia kwa Watanzania kwani Sharo alikuwa akipendwa na watu wa marika yote Nchini na Hajawahi kuhusishwa na skendo zinazomshusha thamani mtu yeyote.

Kutokana na Maombi ya watanzania walio wengi wameomba mazishi ya Msanii huyo yafanyike kesho na Familia ya Marehemu imekubali kuwa Mazishi yanafanyika Kesho Tar. 28-11-2012 huko kijijini kwao Wilayani muheza Mkoani Tanga.
Ikumbukwe kuwa wiki iliyopita tumepoteza pia wasanii wawili wa filamu Nchini ambao ni MLOPELO  na JOHN MAGANGA ambaye anzikwa leo tar 27-11-2012 huko jijini Dar-es-Salaam makaburi ya kinondoni. 

SWALI LANGU NI UBINADAMU GANI WALONAO WANADAMU KUMWIBIA MAREHEMU????

HUU NI MWAKA MBAYA SANA KWA TASNIA YA FILAMU TANZANIA-----
R.I.P SHARO MILLIONAIRE 
Read more ...

MJUE PROF KLAUS WILMS ..

Nov 27, 2012
The internist Professor Klaus Wilms of the University of Würzburg celebrates on Thursday, 5 March, his 70th Birthday.From 1982 to 2004 he headed the Medical Polyclinic. Even in retirement to drive him to research and teaching.

In 2005, Klaus Wilms a visiting professor at the University of Tartu (Dorpat) in Estonia. In the two years after that he was repeatedly visiting professor in Würzburg's twin city Mwanza in Tanzania, at Bugando University College of Health Sciences of the University of St. Augustine. He taught the first issues of medical students in the field of Internal Medicine.Since 1 March 2008 is the medical director of the Comprehensive Cancer Center Foundation Mainfranken at the University of Würzburg. This integrated cancer treatment and research center was at University Hospital and Medical Faculty established in Excellence Initiative of the German Cancer Society, in cooperation with the academic teaching hospitals.
Career of Klaus Wilms
Wilms Klaus, born in 1939 in Kiel, studied medicine in his native city and in Munich. After graduation, he worked in hospitals in Waiblingen, Heidenheim and Wiesbaden, and the Tübingen University Hospital.
A fellow of the German Research Foundation (DFG), he worked from 1965 to 1967 at the Institute of Biochemistry, University of Cologne, then to 1973 at the University Hospital in Tübingen.There he qualified and was appointed senior physician.
In the "Mecca" of bone marrow transplantation, the Division of Oncology at the University of Washington in Seattle, Klaus Wilms graduated in 1975 a research visit. Back in Tübingen, he was an adjunct professor in 1978, and from 1980 to 1982, he worked at the city's University Hospital as a senior consultant. Of Tübingen, he finally moved to Würzburg.
Research and Volunteering
As a researcher, Klaus Wilms considered, inter alia with the proliferation and specialization of cells in blood formation.Another focus of his work focused on leukemia and malignant lymphoma. He was also involved in clinical bone marrow transplantation and blood stem cell transfusions after high-dose chemotherapy or radiotherapy.
When the Medical Faculty of the Technical University of Dresden Klaus Wilms worked from 1991 to 1994 with the founding committee. For two years he was Dean of the Medical Faculty of Würzburg, for six years a member of the Science Council.
Read more ...

BREEKING NEWZZZ SHALO MILLIONARE FARIKI DUNIA

Nov 26, 2012

 
 
 
Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Constatine Masawe amekiri kutokea kwa msiba wa Sharobaro, baada ya kupata ajali majira ya saa 2 usiku katika kijiji cha Lusanga, Muheza ambapo pia ndio nyumbani kwao. Sasa naweza kusema R.I.P Sharomilonea. Maiti ya Sharo Milionea imehifadhiwa hospitali ya Teule Muheza
Read more ...

KWA ALIYEKOSA KWENYE HARUSI YA Dr FIDOLIN MUJUNI ..MPANGO MZIMA ULIKUWA HIVI.....

Nov 26, 2012
       Hapa ndipo wakati ule ambapo pete ilikuwa ikivishwa katika kanisa la nyakahoja
                wera weraaaaaaaaaaaaaaaa
                                     chezea mujuni eeeeeee
 hapa ni majembe kutoka MD4 waliosherehesha na kupendezehsa function






                             obugenyi bukashemera
Read more ...