Pages

MWAZA CLASSIC: HUYU NDIYE DUME ALIYEANIKA NYETI ZAKE FACECOOK

Jan 9, 2013
Read more ...

WAGONI WAFUMWA NA KUSHUSHIWA KICHAPO KIKALI

Jan 9, 2013


wananchi wakiwazonga na kuwapa kichapo

Nitukio la kusikitisha sana..kama unavyoona ni mwanaume mwenye mke na watoto akiwa amefumwa akivunja  amri  ya sita  na mwanamke mwenye familia na watoto....
 WAZINZI WAKIPELEKWA  POLISI.....

Wananchi  wenye  hasira kali  walipa  kichapo  kikali  ili  liwe fundisho  kwa  wengine hapo  mtaani.....

CHANZO NI GUMZO LA JIJI 
Read more ...

ENEO LA AJALI YA BUNDA BUS LEO MAENEO YA MAGU MKOANI MWANZA

Jan 9, 2013

Eneo la katikati ya Lugeye na Nyanguge Basi la abiria la 'Bunda express" lenye namba za usajili T 782 BKZ likitokea Musoma kuelekea jijini Mwanza muda wa saa mbili asubuhi hii limepata ajali mbaya kwenye eneo hilo.

Mazingira yanaonesha kuwa idadi kubwa ya watu wamejeruhiwa na hofu kubwa imetanda eneo la tukio kuhofia usalama wa hali za abiria waliomo ndani ya basi husika kwani basi limepinduka tairi zikielekea juu, limetumbukia kwenye majaruba ya mpunga, limepondeka vibaya upande mmoja, na tayari katika muda huu napita eneo la tukio miili ya watu wawili imeonekana ikizagaa nje ya basi kandokando ya barabara na mvua kubwa inaendelea kunyesha.

Hali ya uokoaji imeathiriwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha eneo hili ni wachache tu abiria wameweza kupewa miamvuli na watu walio kwenye magari yanayopita eneo hili ili wapate kujisitiri.

Chanzo cha ajali kinatajwa kuwa ni mwendo kasi wa busi hilo.

Watoto wakiwa na mama zao wanalia tu wakihitaji msaada, mvua ikiwanyeshea wakihofia usalama wao na mali zao. 

Mpaka tunaenda mitamboni idadi ya watu waliopoteza maisha ni wawili na 36 majeruhi,
Watu 24 waliopata majeraha makubwa wamepelekwa hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza
Na majeruhi 12 wamepelekwa Hospitali ya Wilaya ya Magu. 

Hakuna pa kujisitiri kwa watoto hawa ambao walikuwa wakisubiri wazazi wao kuokolewa toka ndani ya basi hilo zaidi ya kujisitiri kwa kanga, vitenge na mashuka waliyoambulia toka kwenye baadhi ya mabegi yao.

Baadhi ya nyumba zilizo karibu na eneo la ajali nazo zimeathiriwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha eneo hili wilayani Magu.

Hali ya baadhi ya barabara za ndani zinazounganisha vijiji wilayani Magu zimefunikwa na maji.

Barabara hali ya hewa na mazingira.

Read more ...

magazeti ya leo udaku ,manewa na sports

Jan 8, 2013

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Read more ...