Pages

HAYA NI MAELEZO JINSI YA KUPATA INTERNET ISIYO NA KIKOMO :BOFYA HAPA KUPATA MAELEZO NI RAHISI MNOO

Aug 13, 2014
      
HAYA NI MAELEZO JINSI YA KUJIUNGA NA INTERNET ISIYO NA KIKOMO

1.baada ya kua umedownload hiyo program ya tunnelguru ambayo utaipata hapa
2.sasa iextract kwa kutumia program ya kuanzip kama huna idownload hapa

Pia hakikisha umeistall java 8 kwenye computer yako kama huna idownload hapa
 http://www.oracle.com/technetwork/java/javase/downloads/jre8-downloads-2133155.html

3.baada ya kua umeixtract sasa jaza hicho kiprogram cha tunnek guru kama nilivokunesha hapo chini



kuna suala la ku update tunnelguru namba suala hili kama hilielewi ni kwamba hatua ya kwanza lazima ulog in kwenye acaunt yako kupitia tunnelguru.com the utaona kitu kama hiki
baaada ya hapo ukisha log in utacheki kitu kama hiki
swali ni kwamba je hiyo tunnelguru namba utaipatia wapi?ni kwamba tunnelguru namba utaipata kwa kufanya hivi
bonyeza neno about katika kile kisofware chako cha tunnelguru kama hivi
kisha bonyeza CTR na C so utakua umecopy then unarud hapa kuipest

jinsi ya kuweka vocha

Log in kwenye akaunt yako kama hivi :Then nenda kwenye ki icon kimeandikwa apply vocher then 
then utaingia kwenye hii section
baada ya hapo weka user ID then weka vocha yako 

nadhani maelezo haya yatakusaidia ili uweze kujipatia internet ya kutosheleza mahitaji yako:
wasiliana kupitia
                     0688148836 hii ipo wattsup
0759212578
Read more ...