Pages

MPANGO MZIMA WA TOUR YA BUGANDO TO SERENGETI UKO HIVI...

Mar 5, 2013
Kwa wale ambao hawajajua mpango mzima wa jinsi ya kwenda serengeti ni kwamba safari itakuwa jumamosi tarehe 9 ambapo unatakiwa kulipia sh 35000/= kwenda na kurudi na malazi na tour guide inakuwa covered katika hiyo gharama.wasiliana na  mussa mdede au ,mayengo peter sim namba +255765815179 wahi mapema mza...
Read more ...

DR:KABANGILA ATEULIWA KURATIBU SHUGHULI ZA CHADEMA KANDA YA ZIWA:HONGERA CHIEF

Mar 5, 2013
MKAKATI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kugatua madaraka kwa kutafsiri sera yake ya majimbo, umeanza kazi rasmi katika kanda zake 10, na sasa Kanda ya Ziwa Magharibi imetangaza kikosi kazi kilichosheni wataalamu wa fani mbalimbali. Kanda hiyo inayohusisha mikoa ya Geita, Kagera na Mwanza, ilizinduliwa wiki iliyopita...
Read more ...