Pages

DAKTARI AFUMWA AKIFANYA MAPENZI NA MABINTI ANAOWATOA MIMBA

Dec 2, 2012
amamni Dunia inapoelekea kwa sasa inatia huruma kwani video unayoinoa hapo chini ni ya kusikitisha kabsa kwa Daktari ambaye anayatambua maadili yake ya kazi kufanya upuuzi kama ule,

Video hii abayo inamuonyesha DAKTARI huyo ambaye ni  maarufu kwa kutoa mimba kinyume na maadili ya kazi yake kwani amekuwa akiwatoa mabinti MIMBA  na mbali na hayo yote alitumia uongo wa kuwaambia kuwa akifanya nao mapenzi ndio njia hiyo ya kutolea mimba inakuwa nyepesi zaidi.