KAMPUNI YA COCACOLA IMEANDAA BASHH KWA WANAVYUO WOTE KUTOKA MWANZA AMBAYO ITAFANYIKA TAREHE 15/12/2012 KATIKA VIWANJA VYA MALAIKA BEACH RESORT KUANZIA SAA 4 ASUBUHI HADI SAA 12 JION
KIINGILIO NI SHILING 6000/ = PAMOJA NA BITES NA DRINKS
EVENTS :
GETTING TOGETHER
GAMES KIBAOOO
CHILLING
VYUO SHIRIKI
CBE MWANZA
SAUT(MWANZA CAMPUS)
BUGANDO
MIPANGO(MWANZA CAMPUS)
TIA
IQRA
VICTORIA INSTITUTE
CRDO MINING
NGWANZA TEACHERS
CONTACT GAZAR AHMED (CBE) 0755543542
AU 0753143709