Kampuni ya cocacola imeendesha bonanza katika viwanja vya TUNZA BEACH .bash hiyo imehusisha vyuo vyoue kutoka mwanza .ambapo watu wamechill na kuenjoy katika michezo mbalimbali
blogger wa bugando blog sadru mohamed akiwa mlinda mlango wa timu ya bugando katika sand fotball match kati ya chuo cha bugando na chuo cha saut
watu wakichill na kuejoyyyyyyyyyyyyy
baada ya team ya bugando kushinda puzzle ya sprite hivyo na kujishindia zawadi ya saa
wadau kutoka CBE MWANZA katika pozyyy
timu ya ushindi kutoka bugando
bayo nade kutoka bugando aliibuka mshindi baada ya kuwashinda wenzake katika shindano la kula biscut na kunywa soda katika dk 2.5
bloggerwa bugando blog kushoto katika pozy na wadau wa vyuo vingine