Bondia maarufu katika enzi hizo za 2000 ameamua kubadili jinsia na kuwa mwanamke .baada ya kufanyiwa modifikation kwa masaa 16 huko nchini marekani,bondia huyo ameongeza na kusema kua atafurahi kupata hedhi yake kwa mara kwanza na kusema kua anajivunia kuwa mwanamke