MAREHEMU JOSEPH MWASOKWA AMEUWAWA JANA USIKU MAJIRA YA SAA MBILI NA NUSU USIKU NJE YA NYUMBA YAKE
MZEE JOSEPH MWASOKWA AKIWA NARAFIKI YAKE NA NDIYO WALIOKUWAWOTE JANA USIKU WAKITOKEA KUANGALIA MECHI ZA BARA LA ULAYA WAKAAGANA VIZURI TU NA MZEE MWASOKWA AKAWA ANAELEKEA KWAKE NA NDIKO MAUTI YALIMKUTA KWA KUKATWA NA MAPANGA
JUU NA CHINI HAPA NDIPO WALIPOMUULIA MZEE MWASOKWA NJE YA NYUMBA YAKE JANA USIKU
MPOKI MTOTO WA MAREHEMU YEYE NDIO ALIKUWA WA KWANZA KUUONA MWILI WA BABA YAKE HAPO NJE ASUBUHI YA LEO
MHESHIMIWA MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI NAE ALIKUWEPO HAPO MSIBANI KUWAFARIJI WAFIWA AMESEMA AMESIKITISHWA SANA NA KIFO CHA WAJINA WAKE MZEE MWASOKWA YEYE HANA LA KUSEMA ZAIDI KAZI TUWAACHIE WANAUSALAMA WAFANYE KAZI YAO
ADRIAN MAGEMBE MWENYEKITI WA MTAA WA BLOCK T ALIKOKUWA ANAISHI MAREHEMU AKITUELEZEA JINSI ALIVYOPATA TAARIFA YA MSIBA WA RAFIKI YAKE MPENDWA AMESEMA MZEE MWASOKWA ALIKUWA KIPENZI CHA WENGI KATIKA ENEO HILO LA BLOCK T ANASHINDWA KUELEWA HAWA WATU WALIOMUUA WALIKUWA NA KISA GANI MAANA VITU VYOLE WALIMKUTANAVYO KAMA SIMU POCHI NA VITU VINGINE WAUAJI HAWAKUONDOKA NA KITU CHOCHOTE