HAYA NI MAELEZO JINSI YA KUJIUNGA NA INTERNET ISIYO NA KIKOMO
2.sasa iextract kwa kutumia program ya kuanzip kama huna idownload hapa
Pia hakikisha umeistall java 8 kwenye computer yako kama huna idownload hapa
http://www.oracle.com/technetwork/java/javase/downloads/jre8-downloads-2133155.html
3.baada ya kua umeixtract sasa jaza hicho kiprogram cha tunnek guru kama nilivokunesha hapo chini
kuna suala la ku update tunnelguru namba suala hili kama hilielewi ni kwamba hatua ya kwanza lazima ulog in kwenye acaunt yako kupitia tunnelguru.com the utaona kitu kama hiki
baaada ya hapo ukisha log in utacheki kitu kama hiki
swali ni kwamba je hiyo tunnelguru namba utaipatia wapi?ni kwamba tunnelguru namba utaipata kwa kufanya hivi
bonyeza neno about katika kile kisofware chako cha tunnelguru kama hivi
kisha bonyeza CTR na C so utakua umecopy then unarud hapa kuipest
jinsi ya kuweka vocha
Log in kwenye akaunt yako kama hivi :Then nenda kwenye ki icon kimeandikwa apply vocher then
then utaingia kwenye hii section
baada ya hapo weka user ID then weka vocha yako
nadhani maelezo haya yatakusaidia ili uweze kujipatia internet ya kutosheleza mahitaji yako:
wasiliana kupitia
0688148836 hii ipo wattsup
0759212578