Ama kweli waswahili wanasema tembea uyaone, na kuwa mwenye macho baii haambiwi tazama, labda nikupe muhtasari mfupi ndugu msomaji kuhusiana na mkasa huu:
Hii ni video ambayo kwa sasa imevuja sana kwenye mitandao mingi hapa Africa na kote duniani ikimuonyesha mchungaji wa kanisa akizini na mwanamke ambaye anasadikiwa kuwa ni tasa na alimfuata mchungaji huyo kwa lengo la kumwombea ili aweze kupata mtoto lakini matokeo yake mchungaji huyo bila hata ya kuwa na hofu ya mungu yeye aliamua kuzini nae kwanza kabla ya yote, kitu cha ajabu zaidi ni kwamba mwanamke huyo na mchungaji walikuwa wasema maneno yafuatayo “Power, Enter" kumaanisha kuwa atapata mtoto pindi mchungaji atakapomaliza haja yake hiYO