
Picha hizi zimesambaa kwa kasi ikiwa ni siku moja tu baada ya NEY KUKANUSHA KUWA HANA UHUSIANO NA NISHA ...
Sasa Sijui Zimevujaje ? Ney wa Mitego ni mwanamuzi Ambae Siku za Karibuni Amepata umearufu kwa Kuwapa"MADONGO" Wasichana wa Bongo Movies Kuwa ni Malaya Wenye Viwango ...
Kumbe na yeye alikuwa anaponea huko huko