Pages

COLLAGE SPONSYIUM BASH KWA WANAVYUO WOTE WA MWANZA

Dec 12, 2012

Photo: ALL WELL COME

KAMPUNI YA COCACOLA IMEANDAA BASHH KWA WANAVYUO WOTE KUTOKA MWANZA AMBAYO ITAFANYIKA TAREHE 15/12/2012 KATIKA VIWANJA VYA MALAIKA BEACH RESORT KUANZIA SAA 4 ASUBUHI HADI  SAA 12 JION

KIINGILIO NI SHILING 6000/ =  PAMOJA NA BITES NA DRINKS
EVENTS :
         GETTING TOGETHER 
         GAMES  KIBAOOO
         CHILLING

VYUO SHIRIKI

CBE MWANZA

SAUT(MWANZA CAMPUS)

BUGANDO

MIPANGO(MWANZA CAMPUS)

TIA

IQRA

VICTORIA INSTITUTE

CRDO MINING 

NGWANZA TEACHERS 


CONTACT GAZAR AHMED (CBE) 0755543542 

AU 0753143709