ANGALIA PICHA DAAH MAKUBWA HAYA;SENENE ZALETA KIZAA ZAA IRINGA MJINI, WALIMU NA WANAFUNZI WASHINDANA KUWAKAMATA
Dec 11, 2012
Baadhi ya walimu na wanafunzi wa shule mbalimbali za Msingi, Iringa Mjini wakikamata senene. Gari likiwa limebeba senene kuwapeleka katika soko kuu la Manispaa ya Iringa kwa biashara.