Mashabiki wa hitmaker wa ‘Me and You’ Ommy Dimpoz wa jijini Stockholm, Sweden Jumamosi iliyopita (April 27) walifanikiwa kupata burudani live ya wimbo huo na zingine.Mashabiki wa hitmaker wa ‘Me and You’ Ommy Dimpoz wa jijini Stockholm, Sweden Jumamosi iliyopita (April 27) walifanikiwa kupata burudani live ya wimbo huo na zingine.