Pages

MISS UNIVERSE TZ 2012 WAANZA KAMBI RASMI

Jun 26, 2012

 Warembo wa miss universe Tanzania 2012 wameanza rasmi kambi katika hoteli yenye hadhi ya kipekee Urban Rose Hotel. Hii ni kwaajili ya kujiandaa na fainali ya Miss Universe Tanzania 2012 itakayofanyika tarehe 29 mwezi huu wa juni.

Miss Universe Tanzania pia imeandaa mafunzo mbalimbali kwa ajili ya kuwapa warembo ili kujitambua kama vijana na kama wanawake. Mafunzo hayo yatakuwa yakitolewa na wataalamu mbalimbali toka katika nyanja tofauti ikiwemo TGNP.
Mkurugenzi wa kampuni ya Compass Communications ambaye pia ni mkurugenzi na muandaaji mkuu wa kitaifa wa mashindano haya Maria Sarungi Tsehai amesema kuwa tofauti na miaka ya nyuma mbali na kuongeza semina zaidi ili kuwasaidia warembo lakini pia imefanikiwa kuongeza mikoa ambapo mwaka huu wameshiriki warembo kutoka mikoa saba ya Tanzania.
Mbali na kutafuta warembo tu bali Miss Universe ni kama chuo cha kufundisha warembo juu ya kujitambua kama mwanamke na kumpa mbinu mbalimbali za kimaisha.Vilevile mbali na mshindi kupata nafasi ya kutembea nchi mbalimbali za kimataifa pia hutoa fursa kwa mshindi kupata nafasi ya kwenda kusoma nje ya nchi kama vile Marekani kwa kupitia mdhamini wetu mkuu New York Film Academy’’
Kambi ya Miss universe Tanzania 2012 imekamilishwa na warembo 20 kutoka mikoa saba ya Tanzania ambayo ni Dodoma, Arusha, Mwanza, Kilimanjaro, Manyara, Mtwara na Dar es Salaam.
Mashindano ya Miss Universe Tanzania yalianza rasmi mwaka 2007 ambapo mrembo wake wa kwanza alikuwa ni Flaviana Matata ambaye mbali na kuliletea sifa taifa bali pia amepata mafanikio makubwa katika fani ya ulimbwende kwa kuwa mwanamitindo wa kimataifa. 2008 Miss Universe Tanzania iliwakilishwa na Amanda Ole sululu, 2009 Illuminata James, 2010 Hellen Dausen na Nelly Kamwelu ambaye ndiye anakabidhi taji kwa mshindi wa mwaka huu.
Mashindano ya Miss Universe Tanzania yamedhaminiwa na Le Grande Casino, The citizen, Urban Rose Hotel, Amina Designs, Dodoma Hotel na New York Film Academy

chanzo ni 
Read more ...

MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA SERIKALI ZA MITAA 2012

Jun 26, 2012


Sherehe za maadhimisho ya siku ya Serikali za mitaa zinafanyika jijini Mwanza, sherehe zikifanyika kwa ushirikiano wa jumuiya za serikali za mitaa Alat na Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI.
 Maadhimisho hayo yanafanyika sasa katika uwanja wa CCM Kirumba tangu tarehe 24 juni hadi tarehe 1 july 2012 na kuhusisha shughuli mbalimbali mathalani Kongamano la kuboresha ubia baina ya sekta za Umma na Binafsi. 

 Wananchi wakiwa katika banda mojawapo uwanjani humo wakionja ladha ya mvinyo mmoja wapo unaotengenezwa na viwanda vidogo hapa nchini.

 Kauli mbiu kwa maadhimisho haya kwa mwaka huu ni 'Shiriki sensa ya watu toa maoni kuhusu katiba mpya kuharakisha ugatuaji wa madaraka kwa wananchi kwa maendeleo yao'

 Ufugaji bora nao unahusishwa kwenye maonyesho haya.

Wananchi kwenye baadhi ya mabanda.

Ramani picha ikionesha mpango wa jinsi jiji la Mwanza litakavyokuwa kufikia mwaka 2025.




Read more ...

MATOKEO NA PICHAZ ZA MECHI ZA EURO 2012

Jun 21, 2012
Mchezaji Wyne Rooney ameifungia England goli pekee kwenye mechi ya Ukraine na kufanya wachukue nafasi ya kuongoza Kundi D na kuingia kwenye robo fainali 2012 watakapokutana na Italia.
Read more ...

UKWATA BUGANDO KUZINDUA KWAYA YAO

Jun 21, 2012






KWAYA YA UKWATA BUGANDO WATAZINDUA  ALBUM YAO YA VIDEO
TAREHE 01/07/2012 MUDA ITAKUWA NI SAA 7 MCHANA HADI SAA 11 JIONI
 MAHALI NI BUGANDO HOSTEL
HAKUNA KIINGILIO NYOTE MNAKARIBISHWA KATIKA KUSIFU NA KUMTUKUZA MUNGU
Read more ...

WASABATO BUGANDO WAFANYA MAHAFALI YAO YA KIDINI YALIKUWA NI YA KIHISTORIA

Jun 17, 2012
Add caption
Maandamano yaliwasili katika hostel za bugando asubuhi 

                          gwaride lilipigwa na kwata la nguvu likashushwa na watoto


                                                 bituro naye akiwa katika msafara

                                                  chezea sabatho weweee
                                                      brass band akipiga kazi


                                           alfred bituro muhitim MD5
                                             MBELEEEEEE TEMBEAAAA

                                            MWENDO WA TARATIBU

                                               MWENDO WA HARAKA

                                                     WERAAAAAAAAAAAAAAA


                                                  KWATA LA NGUVU

                                               NICE GWARIDEE




                                      BAADAE GWARIDE LILIELEKEA DARASA LA MD1











                                          ALFRED BITURO MD5

                                                WAHITIM KUTOKA ALLIED

WAGENI WAALIKWA 


Read more ...