Pages

MPANGO MZIMA WA TOUR YA BUGANDO TO SERENGETI UKO HIVI...

Mar 5, 2013


Kwa wale ambao hawajajua mpango mzima wa jinsi ya kwenda serengeti ni kwamba safari itakuwa jumamosi tarehe 9 ambapo unatakiwa kulipia sh 35000/= kwenda na kurudi na malazi na tour guide inakuwa covered katika hiyo gharama.wasiliana na  mussa mdede au ,mayengo peter sim namba +255765815179 wahi mapema mzazi