Pages

MAISHA YA DIAMOND NI LAANA TUPU SKILIZA NGOMA YA DOGO LAKE KAANIKA KILA KITU

Sep 27, 2013

 wake diamond kaamua kuanika kila kitu cha dimond katika ngoma yake aliyoitoa kupitia studio za steve white .ndani ya ngoma hiyo dogo kasema maneno kibao ikiwemo enzi zile diamond anaoga mara moja kwa wiki,mnywa gongo chokoraa na maishu kibao ebu iskilize ngomayenyewe hapa





FREE INTERNET KWA WAJANJA UKITAKA BONYEZA HAPA:

BONYEZA HAPA




Read more ...

MAGIC SIM CARD FREE UNLIMITED INTERNET

Sep 27, 2013
Kwanza kabisa utatakiwa kua na modem au kwa wale ambao mnatumia sim kama modem lakini kitu cha kuzingatia ni kwamba hiyo sim yako iwe inaweza kukamata mawimbi ya 3G.
basi utaanza kwa hatua zifuatazo
ukikwama sehem yoyote we nistue tu mda wowote nikusev namba ni hii hapa 0688148836 





nenda google unandike pdproxy.com yaani kama hivi

1.utatakiwa kudownload software ambayo utaiinstall kwenye computer yako aijalishi unatumia window gani.
nenda
www.pdproxy.com kisha utaona kitu kama hiki



utabonyeza sehem ya kudownload kisha baada ya hapo kiprogram hicho chenye ukubwa wa kama mb 1.2 kitakua kimekua downloaded lakini ilo file liko zipped kwa hiyo itabid uliunzip kwa wale ambao computer zenu zina program ya kuextract.unaweza kua hujui kama computer yako ina iyo program ili kuona kama unaweza fanya action hiyo nenda katika ilo file ulilo lidownload kisha li rightclick utaona sehem imeandika extarct here so utaextact then kijifolder kidogo kitatokea chenye program hiyo inayoitwa PDPROXY hivyo baada ya hapo bas nenda ndani ya hicho kifolder utaona kunamafaili mengi wewe nenda mpaka kineno kimeandikwa pdproxy kibonyeze then kitainstall chenyewe kinatumia kama dk 2 kuingia
then kitatokea kitakua kinafanana hivi

katika sehem ya user name na passwrd jiregister mwenyewe katika hii site ya http://www.pdproxy.com/download.htm 

kwa sasa akaunt yako itakua ni ya trial so kama vip jaza kama picha ya hapo juu inavyoonesha ila kwa sasa tumia demo server kwa ajili ya kutest kama inafanya kazi
wasilinana nami na kwa maelezo zaidi 0759212578
watsup tumia hii 0688148836

note hii ni kwa ajili ya mikoa ya dar ,pwani, arusha na mbeya tu kwa sasa
Read more ...