Pages

PROF MTABAJI,PROF KATARAIYA NA MUSSA MDEDE WAKIWA STAR TV

Jul 9, 2013
Katika kuendelea na mchakato mzima wa kusimamisha mjengo ambao utakua ni maktaba ya kisasa kabisa leo hii tarehe 9/7/2013 chuo kikuu bugando tumepata nafasi ya kufanya interview na STAR TV mada ilikua ni kuhamasiha event ya FUND RISING ambayo itafanyika tarehe 12/07/2013 siku ya ijumaa ambapo mgeni rasmi atakua RAIS MSTAAFU BENJAMIN WILIAM MKAPA.
Mengi yaliongelewa na soon tutaweka interview nzima ilivyokua

prof mtabaji

               Prof Katarahiya



interview nzima itakuijia hivi punde stay tunned