Pages

PICHA 90 ZA EVENT NZIMA YA HARUSI YA SILAYO MWANZO MPAKA MWISHO

Jul 21, 2013
             huyu ni clasmate wake silayo anaitwa leah john naye alikuepo
           ilomo
        wakati wa kuelekea kanisani
                bibi harusi akijongea kuelekea kanisani


                kabla ya kuingia kanisani tunapitia mahalaaa

      bibi harusi akipumzika kidogo
     bibi harusi ananena na watu wake wa karibu



    tulifunga mitaa yote macho yote kwenye harusi unachezaaaaaaaaa niniiiiiiii


    wapambe wakielekea kanisani
   silayo akiwa upande wa kulia na best men wake wakipumzika




    silayo
    stage show wakijiandaaa

   waooooooo kanisani hapo
   watu nyomiiiii
  mchungaji akisubiri kufungisha harusi



   watoto walipendeza haoooooo











   watu wanashuhudia event nzima

    bwana harusi akiingia ukimbini




 waooo bibi harusi anaingia








mchungaji anatoa neno



     silayo akikabidhiwa kifaaaa
   silayo anacheeekaaa









   mcheki bibi harusi ametokelezeyaaaaa





   bwna na bibi harusi wakipata nasaha za ndoa






 kiapo cha ndoa kinasomwa
  silayo ni mwanafunzi wa fani ya udaktari mwaka wa tatu katika chuo kikuu bugando ameonesha njia kwa vijana na kudhihirisha kua kuoa ni mipango si mpaka uwe na hammmer au vogii..bugando blog tunampongeza sana ..hongera sana silayooo