Pages

JK AWEKA JIWE LA MSINGI UPANUZI WA UWANJA WA NDEGE BUKOBA..!!

Jul 25, 2013

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi la upanuzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba Julai 24, 2013
Picha mbalimbali juu ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi la upanuzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba Julai 24, 2013.
Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi waliojitokeza kumlakini katika ziara yake.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua jengo la Kagera Coperative Union leo Julai 24, 2013 mjini Bukoba.