Pages

HUU NDO MPANGO MZIMA WA FUNDRISING ILIYOFANYIKA GOLDCREST MIL 400 ZIMEPATIKANA INGIA UJIONEE

Jul 12, 2013
Katika fundrising iliyofanyika goldcrest leo hii siku ya ijumaa tarehe 12/07/2013 ilikua ya mafanikio makubwa ambapo mawaziri kama mh wasira ,wiliam ngeleja ,anthon dialo na watu wengine kibao walikuepo na kufanikisha kupatikana kwa kiasi cha shiling mil 400 
hafla hiyo ilihostiwa na mh benjamin william mkapa

sadru shaking hand with hon benjamin william mkapa

                ebwana ilikua ni bonge la paty ladoes walitokelezea kinomaaaaa
         meza ya machief ilipendeza kinomaaaa
     mcheki morona alivyowaka
              dr rambau naye alikuepo

             sayril akifuatilia mambo kwa ukaribu
         meza ya wazeeeee



 mussa mdede kwenye redcapet
 picha ya pamoja

           with waden drinking

     pamewakaaaaaa

         dr peter na wife wake walikuepo


 kulia ni ngeleja
                   chief accountant na alfa wakipiga mahesabu

     hii meza ilitia hasara yaani vyombo shazzzzzzzzzzz


 chek dr izdor alivyotokelezea

      daaaaah mchek dr kamugisha katika pozzzyy


    waden katika pozzzzzy
   prof masesa katika chek one na camera





       mheshmiwa mkapa akilisongesha
    serikali ya wanafunzi chini ya kamanda mdede wakiwasilisha mchango wa laki 2
     mdede akishake hand na mkapa

   atukuzwe akimwaga sera
    waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi akitoa ahadi

     staff wa cuhas  walitokelezeyaaaa

 mdede akifanya interview na star tv
    sayril nikifanya interview na star tv
nikihojiana na mtangazaji wa star tv

 prof jande katika interview na star tv
    waoooo getrude chalya akifanya exclusive interview na star tv


    me with dr kabangila in  a perfect pozzzy
    dr kabangila akifanya interview na star tv

   ebwana hii meza ya wanafunzi ilitisha kwa odaa

 muda wa vyukuuuu

  wanaopiga vyombo ilikua hadi ukaeeeee



 mheshmiwa wasira na ngeleja wakichek na kamera yetu

 me(sadru)  withmakongoro nyerere katika pozyyyy
 okamo na makongoro nyerere katika pozyy
 connni na kidenya katika pozyyy
me with coni and kidenya katika pozyyy


 picha ya pamoja
   ma=da ukafika wa mambo yetu yaleee ya ....mcheki mkufi proqurement officer katika upande wa kulia akiserebuka
chezeaaaa atukuzwe weweeeee






ebwana  eee mambo kibao yalikuepo ila kwa hapa nadhani nimekufurahisha kiasi ila video zitakuiji hivi punde stay tuned na bugando blog
ila usiache kulike page yetu


   vitu vichache ambavyo unaweza kua hukuviskia au kuviona katika fund rising.
Dr kabangila alitoa michango miwili tofauti tofauti kwa niaba ya viongozi wa chama cha chadema.

haya ni majina ya watu na michango yao waliyotoa
STEVEN WASIRA.................5MIL
MAWE MATATU...................3MIL
MKUU WA MKOA MWANZA...........2MIL
WILLIAM NGELEJA...............10MIL
STEVEN KEBWE..................3MIL
BALUGU........................3MIL
WENJE.........................LAKI5(KABANGIRA ONBEHALF)
JAJI........................3MIL
CRDB MANAGER BUGANDO BRANCH.....3MIL
NHIF.........................3MIL
SUMA JKT..........1MIL
GOLD CREST...........MIL 2 NA LAK TATU +UKUMBI BUREEE
CF BULDING................2MIL
MKOMBOZI BANK................LAKI 5
TTCL ...................2MIL
POSTA.....................LAKI 5
KASHEKULO.................LAKI 5
BISHOPS ...................MIL 45
DIALLO....................2MIL
CCM MKOA...................1MIL
LPF.........................1.5MIL
MSTAHIKI MEYA MWANZA.........2MIL
KITIME..........................10MIL
CHENGE.......................2MIL
MADARAKA NYERERE...................3COWS
DC UKEREWE........................1MIL
SADRU MOHAMED (STUDENT)..............ELFU ISHIRINI
MSANA......................700000
STUDENTS....................50000
SERIKALI YA WANAFUNZI CHINI YA MDEDE..................300000