Pages

DR KABANGILA AKIW BUKOBA KATIKA MKUTANO WA CHADEMA NA VIONGOZI WENGINE WA

Jul 16, 2013
Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA) kushoto akifurahia burudani ya ngoma iliyotolewa na kikundi cha ngoma cha bukoba cha RUGOLOILE
Kama kawaida umati wa watu hapa Platform!!
Kikundi cha Ngoma cha Rugoloile kikiendelea kutoa burudani
Ngoma ya Kihaya hapa umefika kwao!!!
Karibu mkuu!!! Karibu Bukoba!

kikundi cha Ngoma cha Rugoloile kikitoa Burudani kuwakaribisha wageni
Burudani ikasogea meza kuu..
Peopleeeez!!!
Mbunge wa Viti Maalum mama C.L. Rwamulaza akiteta jambo na Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje 

Kiongozi akitoa Hotuba yake hapa
Mh. Makamu M/Mwenyekiti (CHADEMA) Kanda ya Ziwa ambaye leo hii amezungumza akichukua nafasi ya Mheshimiwa Kamanda W. Lwakatare na hapa alikuwa  akitoa hutuba yake kwa wananchi wa Bukoba leo hii kwenye uwanja wa Mayunga (Uhuru Platform).  Mheshimiwa Kamanda W. Lwakatare hakuwepo kutokana na kuugua hivyo afya yake haikumruhusu kuudhulia mkutano huu.





Mr. Valelian kazini leo hii..

.

Peopleeee!!!...
Kwa makini sana akisikiliza Hotuba
Mama ambaye jina lake halikuweza kupatikana haraka akisikiliza Hotuba ya Mbunge wa Viti Maalum mama C.L. Rwamulaza
Mbunge wa Viti Maalum mama C.L. Rwamulaza
Mbunge wa Viti Maalum Mama C.L. Rwamulaza akitoa hotuba leo 
People's!!!

Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA) akitoa Hotuba yake leo kwenye uwanja wa Uhuru Platform

Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA) akitoa Hotuba yake leo kwenye uwanja wa Uhuru Platform kumbuka Mh. Wenje ni tangu mwaka 2011 ndiyo ilikuwa mara yake mwisho kuja hapa.