
| Picha | |
| aliyoipost mtandaoni Staa wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya ikimuonyesha | |
| mtoto wake Krish Ndikumana akiwa ameshika glasi ya pombe imemfanya | |
| msanii huyo ashambuliwe baada ya mashabiki wake kutoa maoni kwamba | |
| hapaswi kufanya hivyo kama mzazi na kioo cha jamii kwani anamfundisha | |
| tabia mbaya mtoto wake huyo |



