...
NGOMA MPYA YA NICK MINAJI
Apr 29, 2012
Mpaka naitupia kutoka you tube ilikuwa imetizamwa na watu 3,269,632 icheki kama iko poa basi i likei\\\
...
kusoma kuelewa kukesha mbwembwe
Apr 27, 2012

Ni uskikuwa manane kama saa 9 njemba hii iko inasoma kwa bidii lakini kama ijulikanavyo soma kidogo uelewe kukesha ni mbwembwe so anajikuta akiangusha bonge la Usingizi mzito huku mbu wakimtumia kama kitega uchumi
...
NMVUA ILIYONYESHA JIONI HIII MWANZA IMESABABISHA MAAFA YAFUATAYO
Apr 27, 2012

HAPA NI MAENEO YA VILLA PARK RESORT
HAPA VILLA CLUB KWA MBELE
HAPA...
POST TANO ZATOLEWA BURE KATIKA SEMINA YA MAHUSIANO
Apr 27, 2012
TANGAZO
KATIKA SEMINA ITAKAYO FANYIKA KESHO JUMA MOSI NA JUMAPILI YA WIKI HII ZIMETOLEWA NAFASI TANO ZA UPENDELEO KWA VIJANA WA TANO ,SEMINA HIYO INAFANYIKA MIDLAND HOTEL MWANZA SAA 4 ASUBUHI HADI SAA 12 JIONI
WASILIANA NA MAKURU UJIPATIE TIKET YAKO BUREEEEEEE
No 071644244...
BUGANDO WAFUNGWA VIBAYA NA VIJANA WA MJINI(CBE)
Apr 26, 2012
Katika mchezo wa kikapu ulochezwa hivi leo butimba Tcc vijana wa bugando wamefungwa vikapu 65 kwa 36.ushind huo wa CBE umechangiwa na mashabiki kuwa wengi na hivyo kuwapa hamasa wana wa CBE huku vijana wa bugando wakikosa hamasa kutoka kwa washabiki waiokuwa kiduchu
Kingine kilopelekea bugando kushidwa ni kukosa mazoezi ya kutosha...
zilizoziona leo facebuku
Apr 26, 2012

mambo ya maksai hayooooo
kwenda na wakati
Maria...
NI SEMINA KUHUSU MAUSIANO
Apr 25, 2012

SEMINA YA MAHUSIANO ITAFANYIKA KATIKA HOTEL YA MIDLAND SIKU YA JUMAMOSI NA JUMAPILI TAREHE 28 NA 29 APRIL.
INAWAHUSU WALIO KATIKA NDOA,VIJANA KWA UJUMLA NA WASIO KATIKA UHUSIANO
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA
Makuru kama uko Bugando contAact 0716442444
Grace kama uko SAUT mwanza contact 0766462439
Warda juma kama uko CBE...
TAARIFA KWA WANACHUO WOTE WA BUGANDO
Apr 25, 2012
Imesemwa na Dean of student Bugando kuwa katika mwaka wa masomo wa 2012 na 2013 mamb yanaweza kubadilika hususani katika masuala ya Ada na hii ni kutokana na wadhamini kutoa mchando (donatin)kiduchu kwa wanafunzi hivyo kungeza mzigo kwa wanafunzi.Dean ameongeza kwa kusema kuwa direct cost zitaweza kupanda japo haijajulikana ni...
Apr 24, 2012
European Cups - Champions League
22:26April 24
83'Barcelona2 - 1Chelsea...
ZUMBA NITAGOMBEA TENA URAISI
Apr 24, 2012

Hayo yamesemwa na aliyekuwa mshindi wa pili katika kinyanganyiro cha kuwania urais wa chuo bugando kuwa mwaka huu atawania nafasi hiyo ya uraisi akiwa amejipanga zaidi .hayo yamesemwa na Zumba wakati alipo hojiana na Blog hii na kuongeza kuwa urasi anauhitaji na mwaka huu ataupata ...
HONGERA DAMIAN SHIGONGO NA SADICK WOTE MD2
Apr 24, 2012
Siku hizi imekuwa ngum kwa masela kuoa au madem kuolewa lakini hali hii imetupwa kule na wadau damian shigongo na Sadiki baada ya kuamua kutupa kule ukapela na kuvuta vyombo(wake )nimeongea nao katika wakati tofauti tofauti wamesema kuwa vijana wengi wamekuwa wakipumzikiana lakini kwao wao wameona ni bora waidhinishw na manani aliye juu...
JINSI MSHIKAJI WA MD 2 ALIVYOPOTEA
Apr 24, 2012
Ikiwa ni kama wiki mbili na siku chache hivi tangu mwanafunzi wa udaktari mwaka wa pili bugando apotee leo hii imebainika kuwa alipotea katika hali ya mazingara ambapo imeskika ikisemwa kuwa kijana yupo salama salmin japo kuwa wataalam wako wanamfanyia marekebisho huko kijini kwao .
Blog hii itafanya interview exclusive na kaka mtu ili atupe whaappen...
MATOKEO YALIKUWA HIVI
Apr 23, 2012
PHARMACY NA RADIOLOGY
1----1
RADIOLOGY NA MAABARA
1-----O
MD NA RADIOLOGY
0------...
BAADA YA KIFO CHA KANUMBA SASA IMEKUWA ZAMU YA SAJUKI
Apr 22, 2012

Add caption
Ikiwa ni siku chache baada ya bongo movie kuondokewa na Kanumba sasa amefuata msanii sajuki ambaye amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa uvimbe tumboni stori na sababu za kifo chake zitakuijia hivi punde
cheki jinsi alivyokuwa akiendelea wakati anaumwa
...
BIBI CHEKA NA KITU KIPYA
Apr 21, 2012

BIBI CHEKA AJA NA RUDI BABA FELLA
BAADA ya kutamba na singo yake ‘Ni Wewe’ aliomshirikisha Mh.Tembamsanii kutoka kundi la Mkubwa na Wanawe anayekwenda kwa jina la BibiCheka anatarajiwa kuachia singo yake ya pili inayokwenda kwa jina la‘Rudi Baba Fella’.Akizungumza na mwandishi wa habari hivi karibuni, Bibi Cheka alisemakuwa...
wazazi wakanumba wwaanza kugombania urithi
Apr 21, 2012
Suzy Butondo, Shinyanga na Julieth Kulangwa, Dar
WIKI mbili baada ya kifo cha aliyekuwa msanii nyota wa filamu nchini, Steven Kanumba, wazazi wake; Charles Musekwa Kanumba na Mama yake, Flora Mutegoa ambao hawaishi pamoja, wametofautiana kuhusu suala la mali na mirathi.
Juzi, Mzee Kanumba aliibuka na kudai kuwa kuna kundi la watu linalomdanganya mama huyo wa marehemu kwamba linajua zilipo mali za Steven jambo ambalo alisema...
WALIO SIGN VOTE OF NO CONFIDENCE
Apr 20, 2012
Majina ya Wabunge walio-sign Vote of No Confidence hadi sasa hivi1.Rashid Ali Abdallah CUF2.Chiku Aflah Abwao CDM3.Salum Ali Mbarouk CUF4.Salum Khalfam Barwany CUF5.Deo H Filikuchombe- CCM6.Pauline P. Gekul-CDM7. Asaa O Hamad-CUF8.Prof.Kuliyokela Kahigi- CDM9.Naomi M Kaihula – CDM10.Sylvester Kasulumbayi- CDM11. Raya Ibrahim Khamis - CDM12.Mkiwa H. Kiwanga CUF13.Susan L Kiwanga-CDM14.Grace S Kiwelu CDM15. Kombo Khamis...
MD WADROO NA RADIOLOGY
Apr 19, 2012
Katika mechi iliyochezwa katika viwanja vya nyamagana MD wamedroo na RADIOLOGY huku maudurio yakiwa ni hafifu haijawahi tokea.
MD- 0 RADIOLOGY-O
KIKOSI CHA MD
...
MECHI KATI YA OHARMACY NA MAABALA ILIKUWA YA KUFA NA KUPONA
Apr 18, 2012
MATOKEO YALIKUWA HIVI
PHARMACY 1 LAB 1
Katika mechi iliyochezwa katika kiwanja cha nyamagana leo hii vijana wa pahamacy wamechuana na vijana wa maabara na kutoka kwa sare ya 1-1
mechi ilikuwa na mbwembwe za hapa na pale
wafungaji
pharmacy ni KELVIN dk 67
maabara ni ally muhando...
Subscribe to:
Posts (Atom)