kufua nguo za kawaida 200
blanket 1000
karpet 2000.
swali kuna sababu yeyote ya kuwaondoa wafuaji waliopo ambao wengi wao ni wanawake wajasiriamali .ambapo kutokana na shughuli hiyo hujipatia kipato ambacho huwawezesha kuendeleza maisha yao ya kila siku?na kuna umuhimu gani wa gharama hizo kupanda bila kuwahusisha wadau wenyewe ambao ni wanafunzi?