Kisha msafara wa warembo ulielekea Club Fusion iliyopo katikati ya jiji la Mwanza. |
Party Pipoooooooo wakishow love na kamera ya G. Sengo Blog. |
Bata mbele ya bata.....!!!! |
Dj Victor wa Club Fusion. |
Naye Dj wa Clouds Tv in the house....Siwamjua? |
Oiiii...Mzukaa. |
This is how we do. |
Zembwela na engo ya kutambulisha warembo ambao leo ndiyo leo mmoja wao ataibuliwa na kuvikwa taji la Miss Nyamagana 2013. |
Ulingoni ndani ya club Fusion Recho akipenyeza upepo wake kwa shabiki wake. |
Azontoooo!!! |