Pages

KWA AJILI YAKO MWANAFUNZI WA CHUO CHA BUGANDO:KUHUSU ONGEZEKO LA ADA UPAMBANAJI WA MDEDE NA ISHU ZOTE KUHUSU KIKAO CHA SENATE VYOTE VIKO HAPA

Sep 5, 2013
 interview na Raisi wa chuo kikuu bugando miongoni mwa yaliyoongelewa ni pamoja na suala la kikao cha senate kilichofanyika hapo jana .kikubwa zaidi ilikua ni juhudi za makusudi alizozionesha mdede kwa kufuatilia katika vifungu mbalimbali vya sheria za vyuo vikuu tanzania na kubaini kua wanafunzi nao huwa wana haki ya kua na mwakilishi katika senate.hilo alilipigania kwa nguvu zote japo ya changamoto alizokumbana nazo katika kutaka kuingia katika kikao hicho .maazimio yaliyofikiwa ni kama yafuatayo mwenyekiti Askof Paul Ruzoka wa Tabora maamuzi: (a)Ada 'degree' Tsh.3,850,000/- kwan taasisi haina fedha (b)Allied Tsh.75,000/- makaz,Tsh.350,000/-chakula,Ada-Tsh.1,150,000/,Tsh.1000,000 2nd na 3rd year(c)self-contribution kwa mwaka wa 4 na 5: Tsh.1,150,000/-ufadhil umepungua.BIMA:Ni kama ilivokubaliwa ktk kikao cha kamati ya fedha na mipango utekelezaji wake unaendelea. Baada ya maamuzi haya niliomba nafasi ya kuongea, kutetea na kutoa taarifa na viambatanisho vya madai yetu wanachuo, mwenyekiti kakana kunisikiliza, kwa madai kwamba rais sio mjumbe wameniita nipokee taarifa baada ya kua nimetolewa nje kikao.Akamalizia kwa kusema anayeweza alipe, anayetaka kuhama ahame na asiye weza basi. kwani gharama za uendeshaji chuo ni kubwa.

Mdede aliongeza na kusema kua yeye pamoja naserikali yake hawataishia hapo wataendelea na upambanaji wa haki za wanafunzi ambapo amesema nitaenda TCU na wizara ya elimu .ili nijue nini mwafaka wa suala hili 
yafuatayo ni yale yaliyosemwa na mdede idownload na uiskilize halafu umsendie mwenzako kwa watss app au fb au twitter.maana ina MB moja tu.ahsante sana.
 NB:MDEDE amewasihi wanafunzi kuanza kulipa ada kadri ya viwango wanavyotakiwa kulipa :kwa mujibu wa maamuzi ya kikao cha senate kilichofanyika hapo jana.

src