Pages

IRENE UWOYA ASHAMBULIWA MTANDAONI BAADA YA KUMNYWESHA MTOTO WAKE POMBE, TAZAMA PICHA HAPA

Oct 3, 2013

Picha
aliyoipost mtandaoni Staa wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya ikimuonyesha
mtoto wake Krish Ndikumana akiwa ameshika glasi ya pombe imemfanya
msanii huyo ashambuliwe baada ya mashabiki wake kutoa maoni kwamba
hapaswi kufanya hivyo kama mzazi na kioo cha jamii kwani anamfundisha
tabia mbaya mtoto wake huyo