Pages

AIBU: HAWA NDIO MAKAHABA MAARUFU JIJINI DAR WAKATI WAKIPELEKWA MAHAKAMANI....

Nov 15, 2013
Wanawake wanaodaiwa  kufanyabiashara ya ukahaba  wakiwa Mahakama ya Jiji la Dar es Salaam, baada ya  kukamatwa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kinondoni. Oparesheni ya kuwakama wanawake hao inafanywa na  Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni.
Wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi wakisubiri kusomewa  mashitaka yao

Vijana waliokamtwa wakidaiwa kukutwa wakifanya  mapenzi na wanawake hao wakificha sura zao  wasipigwe picha.