Pages

ANGALIA PICHA ZA UCHAGUZI MPYA WA BONGO MOVIE; VICENT KIGOSI AWA MWENYEKITI MPYA WA BONGO MOVIE HUKU........!

Dec 11, 2012


Shilole akipiga kura

Mwenyekiti wa zamani wa Bongo Movies JB akimpongeza Jackline

Kutoka kushoto ni Chiki Mchoma, Ray na Jack Wolper

Irene Uwoya na Chiki

Hivi karibuni Bongo Movies ilipata viongozi wake wapya katika uchaguzi uliofanyika Leaders Club jijini Dar es Salaam.