Pages

BATA ZA CLUB FUSION(MWANZA) WEEKEND HII ZILIKUA HIVIIII

May 12, 2013
Kisha msafara wa warembo ulielekea Club Fusion iliyopo katikati ya jiji la Mwanza.

Party Pipoooooooo wakishow love na kamera ya G. Sengo Blog.

Bata mbele ya bata.....!!!!

Dj Victor wa Club Fusion.

Naye Dj wa Clouds Tv in the house....Siwamjua?
Oiiii...Mzukaa.

This is how we do.

Zembwela na engo ya kutambulisha warembo ambao leo ndiyo leo mmoja wao ataibuliwa na kuvikwa taji la Miss Nyamagana 2013.

Ulingoni ndani ya club Fusion Recho akipenyeza upepo wake kwa shabiki wake.

Azontoooo!!!