Pages

VILLA NAPO WEEKEND HII PALIKUA HIVIII

May 12, 2013
Ni katika stage la Villa Park Mc Zembwela akitambulisha msafara wa shughuli nzima ya Redds Miss Nyamagana itakayofanyika leo Jumamosi (11 May 2013) ndani ya ukumbi wa JB Belmonte jijini Mwanza.

Moja kati ya warembo 18 wa Miss Nyamagana akijitambulisha kwenye stage ya Villa Park jijini Mwanza.

The parade ya warembo hao.

Lilipigwa sebene nao hawakujivunga kulainisha nyonga.

Another location.

Mwanadada Recho tayari kesha tua jijini Mwanza kusababisha na kung'arisha kona ya burudani hii leo kwenye kinyang'anyiro cha Redds Miss Nyamagana 2013 ndani ya Hotel JB Belmont Mwanza.