Pages

MBUNGE WA MOROGORO KUSINI AHAMASISHA WANANCHI KATIKA SHUGULI ZA MAENDELEO

Aug 3, 2013

Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Innocent Kalogeris akifyatua matofali jana katika kata ya Kisemo Morogoro vijijini ikiwa ni siku aliyojipangia na wananchi wa jimbo hilo na yeye kama mbunge wao kuhamasishana kujitolea katika shuguli za maendeleo.
Mbunge huyo akionyesha mfano Namna ya kufyatua matifali.
Kata ya kisemo Morogoro vijijini inayoundwa na vijiji vitano navyo ni Nige ,Dabwala.Nige Mashariki,Nige Magharibi Nige Mteremko wamejipanga kufyatua tofali laki moja kwa ajili ya ujenzi wa shule na zahanati
   Mbunge wa Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris akiendelea na shuguli ya kufyatua matolai jimboni kwake akishirikiana na wananchi wa jimbo hilo.
Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini  Mh Innocent Kalogeris akiwa na mwenyekiti wa kijiji Mzee Dimoso wakati wa shuguli za kujitolea kijijini hapo 
 Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini  Mh Innocent Kalogeris akiongea na wananchi wa vitongoji vya  Nige ,Dabwala.Nige Mashariki,Nige Magharibi Nige Mteremko  
Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini pamoja na wananchi wa jimbo hilo wakiandaa udongo kwa ajili ya maandalizi ya kufyatua matofali jimboni kwake