
Hii ni taarifa maalum iliyotolewa na rasi mdede ikufikie wewe kama mwana CUHHAS kuhusiana na masuala mbalimbali ya chuo ikiwemo na mfumo mpya wa ukokotozi wa GPA ,Kuahirishwa kwa kikao cha senate kilichotakiwa kufanyika mwezi huu ambacho ilikua inabidi mambo ya ada na mengine kibao kujadiliwa hivyo basi kikao hicho kimesongezwa mbele hadi...