Pages

SPECIAL KWA CUHAS MEMBER:HII NITAARIFA MAALUM KUTOKA KWA MUSSA MDEDE INAKUHUSU WEWE KAMA MWANA CUHAS BUGANDO

Aug 23, 2013
Hii ni taarifa maalum iliyotolewa na rasi mdede ikufikie wewe kama mwana CUHHAS kuhusiana na masuala mbalimbali ya chuo ikiwemo na mfumo mpya wa ukokotozi wa GPA ,Kuahirishwa kwa kikao cha senate kilichotakiwa kufanyika mwezi huu ambacho ilikua inabidi mambo ya ada na mengine kibao kujadiliwa hivyo basi kikao hicho kimesongezwa mbele hadi tarehe 4 mwezi wa 9.hivyo mdede ametoa angalizo kua isitokee mwana cuhas kulipa ada kwa sasa mpaka hapo taarifa kamili na ni kiasi gani cha kulipa itakapotolewa .mengine ni kuhusiana na overall ya matokeo ya MD5.kwa haya na mengine mengi ebu download interview hii na unaweza mtu mia mwenzako kupitia watsup maana tumeifanya iwe yenye MB chache sana .au waweza share stori hii kwa facebook au twitter.