Hii ni picha ya X-ray inayoonesha ndani ya tumbo la "punda" aliyebeba kete zenye madawa ya kulevya. Hivi ndivyo huwa mambo yanavyokuwa ndani ya tumbo la "punda" hawa.
Kutokana na sababu mbalimbali madawa ya kulevya yanaweza kuathiri baadhi ya sehemu za mwili na kusababisha "punda" kupoteza hata maisha yake. Hii scan ilichukuliwa kutoka kwa "punda" mmoja wa Ireland aliyekuwa anasafirisha kwa tumbo lake kilo moja ya cocaine kutoka Brazil kwenda Ureno.
Hapo mwili wa “punda” mweusi aliyefariki ukipasuliwa tayari kuyaondoa madawa hayo yaliyosababisha kifo chake. Sijajua huyu "punda" ni raia wa nchi gani na alikuwa anafanyiwa huo upasuaji nchi gani.
Upasuaji wa mwili wa "punda" aliyefariki ukiendelea.
Upasuaji bado ukiendelea.
Hapo ni baada ya utumbo kutolewa nje tayari kuanza kuyatoa madawa hao.
Madawa hayo yakiwa ndani ya utumbo mpana wa punda huyo.
Keti zenye madawa ya kulevya zikitolewa kwenye utumbo na kusafishwa.
Baada ya utumbo kuchanwa ili kutoa kete zenye madawa ya kulevya.
Hizi ni kete zenye madawa hayo zilozomezwa na "punda" tayari kabisa kwa kuyasafirisha kwenda sehemu husika lakini akafafariki.
Chanzo: HATARII....HIVI NDIVYO MADAWA YA KULEVYA YANAYOKUWA TUMBONI KWA MTU ALIYEYAMEZA...!!! - GUMZO LA JIJI