Pages

BREAKING NEWZZ;MAELEZO YA KINA KUHUSU TAARIFA ZA WAOMBAJI WA MKOPO WA HESLB KURUDIA UPYA UOMBAJI WA MIKOPO YAO

Jul 30, 2013
Hii ni exclusive interview iliyofanyika baada ya taarifa zilizoenea na kuzagaa kuhusu waombaji walioomba mikopo kurudia zoezi hilo nimefanya interview live na mussa mdede baada ya kuongea na uongozi wa HESLB na kunipa maelezo ya kina kuhusu taarifa hizo download na uskilize interview hiyo yenye dakika 3.
katika taarifa rasmi zilizopokelewa kutoka bodi ya mikopo ni kwamba bodi imeongeza muda wa kuomba kwa wale ambao ni continuig student ambao walikua hawaja aply na kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita na kwa sababu mbalimbali hawakuweza kuaply ikiwemo na kwenda jkt na kwa wale waliocheleweshwewa matokeo yao,hivyo basi kwa kifupi ni kwamba taarifa hizo kua waombaji warudie kuomba ni za uongo na hazina ukweli wowote ila wale ambao walikua hawajaomba kabisa ndio wameongezewa muda wakamilishe maombi yao.idowload na uskile interviw hiii hapa chini