Hii ni video inayoonyesha mussa mdede katika interview kaongelea mambo kibao ikiwemo na msimamo wa serikali ya wanafunzi kuhusu lini na kiasi cha kulipa hiyo ada,vilevile utaskia masuala ya kuhusu mabadiliko ya mfumo wa kulipia bima ya afya na walipofikia katika kufuatilia suala la alied na sakata lao la meals na accomodationpia utaziskia salamu za best wishezi kutoka kwa mdede kwa wale walionaza mitihano yao leo hii .download video hii umjue za mwenzako pia kama vipi shara link hii