Mida ya sa nne asubuhi hivi ndo MH mkapa aliwasiri katika viwanja vya bugando na moja kwa moja katika jengo linalojengwa mengi yamezungumziwa ikiwa na kuweka jiwe lamsingi katia jengo hilo
PROF MTABAJI AKINENA NA MH MKAPA
RAISI WA SERIKALI YA WANAFUNZI MUSSA MDEDE AKISALIMIANA NA MHESHMIWA MKAPA
MUSSA MDEDE AKINENA KIDOGO NA MKUU WA CHUO PROF MTABAJI
JIWE LENYEWE HILI HAPA