![]() |
| Mifereji ipitishayo maji yatiririkayo ni midogo na mingi imeziba hivyo maji yanakatiza katikati ya barabara na kuharibu miundo mbinu. |
![]() |
| Katika maeneo mengine maji yamatengeneza madimbwi makubwa katikati ya barabara. |
![]() |
| Ni kama hakuna barabara vile.... |
![]() |
| Barabara zinapogeuka kuwa.... |
![]() |
| Wenye nyumba zao maeneo haya na kuta za nyumba zao.... |
![]() |
| Mbele ya shule ya chekechea... |
![]() |
| Yahitaji mahesabu wakati wa kuvuta hatua... |
![]() |
| Mbele ya mjengo |
![]() |
| Mbele ya maduka.... kwenye barabara hizi zenye kilio cha miaka nenda rudi.. |









