Rapper mdogo kutoka A town Dogo Janja aliekua akisoma na kuishi Dar es salaam amerudishwa kwa wazazi wake Arusha jana kutokana na kufanya mambo mbalimbali ambayo uongozi wa Tiptop Connection haujapendezwa nayo. | |
Tip Top ambao walikua wanasimamia kazi za muziki za Janja wamempandisha basi na kumrudisha kwao jana baada ya kuona msanii huyo hazingatii shule kama inavyotakiwa, amekua mtoro wa mara kwa mara katika shule aliyokua akisoma ya Makongo na hasikii anaporekebishwa, hiyo ndio sababu kubwa ya kumrudisha ili kukwepa lawama za baadae ambazo zingetokana na Dogo Janja kutosimamiwa vizuri kwenye swala la Elimu kwa sababu Tiptop ndio waliokabidhiwa kumsimamia. |
DOGO JANJA ARUKDISHWA KWAO
Jun 13, 2012
kwa hisani
CUHAS BUGANDO
at
08:01


- Two clicks for more privacy: The Facebook Like button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Facebook – see i.not connected to Facebook
- Two clicks for more privacy: The Google+ button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Google – see i.not connected to Google+
- Two clicks for more privacy: The Tweet this button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Twitter – see i.not connected to Twitter