Pages

NG'OMBE WAPIGWA RISASI NA MAASIKARI WA WANYAMA PORI WA HIFADHI YA MIKUMI

Jun 13, 2012


matundu saba ya Risasi kwenye sehemu ya kiuno na tumbo ya Ng'ombe Dume mwenye uzito wa kilo 700 ambaye amepigwa Risasi na Maskari wa wanyama Pori wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, dhamani ya Dume Huyu inafikia shilingi Tsh: 900,000/=