Leo hii imeshuhudiwa wagombea mbalimbali wa uraisi wa chuo kikuu bugando wakuipita huku na kule kupiga kampeini ambapo kwa leo Bw Philipo ameanzia mwaka wa kwanza huku Bw Ndobandola akianzia wanafunzi wa maabara.sera za wagombea ziliskilizwa japo katika kampeini za Bw ndoba ndola kulijitokeza nderemo na vifijo vya hapa na pale ,hii ilionekana pale ambapo mgombea aliingia darasa la maabara na kupokelewa kwa nderemo na vifijo na kuimbiwa nyimbo za umoja
KAMPEINI ZA KUGOMBEA URAISI WA CHUO KIKUU BUGANDO WAENDELA KWA KASI
Jun 11, 2012
kwa hisani
CUHAS BUGANDO
at
04:42


- Two clicks for more privacy: The Facebook Like button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Facebook – see i.not connected to Facebook
- Two clicks for more privacy: The Google+ button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Google – see i.not connected to Google+
- Two clicks for more privacy: The Tweet this button will be enabled once you click here. Activating the button already sends data to Twitter – see i.not connected to Twitter