Amesema ;ninapopata huwa najaribu kutengeneza vibanda vyangu vinisitiri manake ninazo nyumba tofauti tofauti, nyumba ya Tegeta nimetumia milioni 69 mpaka sasa, leo wanapiga plasta nyumba imekaribia kuisha kabisa, ni ya vyumba vinne titatu ni Master, kuna jiko kubwa tu, choo cha public, studio, dining, sitting room… ni nyumba ya kisasa, kiwanja nilikinunua mwezi wa tisa 2011, nyumba nyingine ninazojenga zipo zipo ila huwa sipendi kuzizungumzia
EXCLUSIVE: HII NDIO PESA ALIYOITUMIA DIAMOND KUJENGA NYUMBA YAKE, HII NDIO NYUMBA ALIYOPANGA SINZA
Jun 1, 2012