
Mtuhumiwa wa wizi wa umeme Jeilan Mohamed, akiongozwa na jeshi la polisi kupanda gari baada ya kutuhumiwakuliibia umeme shirika hilo kwa njia ya kuunganisha kabla haujafika kwenye mita (kubaipass) maeneo ya Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.
WATU watano wakazi wa Buguruni jijini Dar es Salaam wanashikiliwa na Jeshi la Polisi...
Read more ...