Vanessa ambae pia ni mtangazaji wa 102.6 CHOICE FM Dar es salaam akiwa nje ya jumba la kifahari analomiliki Emmanuel Adebayor kwao Togo.
Picha zote hapo juu zimepigwa wakati MTV BASE wakiwa wanashoot show mpya inaitwa MTV Base meets with MTN itakayo Anza kuonueshwa MTV Base Agosti 1 2012! hakikisha unakaa mbele ya kioo chako hiyo siku kuchek vitu kama hivyo na ukienjoy pia ubunifu wa interview za Vanessa Mdee… ni bonge la show, ni time ya Africa!!!!!
Adebayor ni mchezaji maarufu kutoka Togo Africa lakini mwenye asili ya Nigeria ambae ameng’aa kwenye timu kama Manchester City, Real Madrid na Tottenham.