![]() |
Baadhi ya wacheza shoo wa kundi la Questions Crew wakizungumza machache mara baada ya kukabidhiwa kitita chao cha shilingi milioni moja |
![]() |
Watu mbalimbali wakifuatilia shindano hilo. |
![]() |
Kundi la Sweet Girls likionesha umahiri wake kucheza kwenye shindano la kulisaka kundi kinara la Serengeti dance la Fiesta 2012 |
![]() |
Kundi la Questions Crew likicheza kouwania kitita cha milioni moja kilichotolewa na kampuni ya bia ya Serengeti sambamba na kreti moja ya bia. |
![]() |
Mdau Thomson akikata kiu yake safi kabisaa. |
![]() |
Palikuwa hapatoshi leo ndani ya ukumbi wa Lakasachika. |
![]() |
Macho mbeeeeele... |
![]() |
Pichani juu na chini Sehemu ya wakazi mbalimbali wa jiji la Tanga waliojitokeza kushuhudia shindano hilo lilovuta hisia za vijana wengi |
![]() |
Mmoja wa majaji wa shindano hilo B Dozen akifafanua jambo wakati wa kumsaka kinara wa mashindano hayo kwa mkoa wa Tanga. |
![]() |
Maujuzi na maufundi.. |
![]() |
Mmoja wa majaji wa shindano hilo Isakwisa Thomson akifafanua jambo wakati wa kumsaka kinara wa mashindano hayo kwa mkoa wa Tanga. |