Pages

BREAKING NEWZZ;MAELEZO YA KINA KUHUSU TAARIFA ZA WAOMBAJI WA MKOPO WA HESLB KURUDIA UPYA UOMBAJI WA MIKOPO YAO

Jul 30, 2013
Hii ni exclusive interview iliyofanyika baada ya taarifa zilizoenea na kuzagaa kuhusu waombaji walioomba mikopo kurudia zoezi hilo nimefanya interview live na mussa mdede baada ya kuongea na uongozi wa HESLB na kunipa maelezo ya kina kuhusu taarifa hizo download na uskilize interview hiyo yenye dakika 3. katika taarifa rasmi zilizopokelewa...
Read more ...

VIDEO ;MDEDE KATIKA INTERVIEW NA MEDIA KUHUSU SAKATA LA KUPANDISWA KWA ADA NA MAMBO KIBAO YA CHUO CHA BUGANDO

Jul 29, 2013
Hii ni video inayoonyesha mussa mdede katika interview kaongelea mambo kibao ikiwemo na msimamo wa serikali ya wanafunzi kuhusu lini na kiasi cha kulipa hiyo ada,vilevile utaskia masuala ya kuhusu mabadiliko ya mfumo wa kulipia bima ya afya na walipofikia katika kufuatilia suala la alied na sakata lao la meals na accomodationpia utaziskia salamu za best wishezi kutoka kwa mdede kwa wale walionaza mitihano yao leo hii .download...
Read more ...

MWONEKANO MZURI WA WASHIRIKI KUTOKA TANZANIA WAENDELEA KUWAWEKA BBA WACHEKI KATKA PICHA

Jul 26, 2013
Published on Friday, 26 July 2013 01:22 // BBA   The good looking duo of Feza and Nando has done well to fly the Tanzanian flag high in this season of Big Brother The Chase. This is the ninth week of the game and both Feza and Nando don’t look like they will be leaving anytime soon. Nando is the resident...
Read more ...

JK AWEKA JIWE LA MSINGI UPANUZI WA UWANJA WA NDEGE BUKOBA..!!

Jul 25, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi la upanuzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba Julai 24, 2013 Picha mbalimbali juu ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi la upanuzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba Julai 24, 2013. Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi waliojitokeza kumlakini katika ziara yake. Rais Jakaya...
Read more ...

TAZAMA PICHA ZA MR BLUE NA EX- GIRL WAKE NAJ….NDANI YA SPORAH SHOW

Jul 25, 2013
Okay.!          ...
Read more ...