COCACOLA INTERCOLLAGE MWANZA BASHH YAFUNIKA
Dec 16, 2012
Kampuni ya cocacola imeendesha bonanza katika viwanja vya TUNZA BEACH .bash hiyo imehusisha vyuo vyoue kutoka mwanza .ambapo watu wamechill na kuenjoy katika michezo mbalimbali
watu wakichill na kuejoyyyyyyyyyyyyy
baada ya team ya bugando kushinda puzzle ya sprite hivyo na kujishindia zawadi ya saa
wadau kutoka CBE MWANZA katika pozyyy
timu ya ushindi kutoka bugando
bayo nade kutoka bugando aliibuka mshindi baada ya kuwashinda wenzake katika shindano la kula biscut na kunywa soda katika dk 2.5
bloggerwa bugando blog kushoto katika pozy na wadau wa vyuo vingine
HAWA NDIO WAZAZI WALIOMLAZIMISHA MTOTO WAO WA MIAKA 8 'KULAMBA' NYETI ZAO WAKATI WAKIFANYA TENDO LA NDOA!
Dec 13, 2012

ULE mwisho ambao ulitabiriwa ana manabii wengi unaonekana kuwa karibu kabisa kwania haya matendo ambayo wanafanya binadamu kwa sasa yana sikitisha kabisa,.. Tukio la kusikitisha lililotokea hivi karibuni huko Nchini NIGERIA na kuonekana kuteka hisia za wadau wengi wa motandao hapa DUNIANI ni lile linalowahusu wazazi wa mtoto wa miaka 8 waliotoa kihoja ama kama si kituko pale walipomwamuru mtoto wao huyu kuwaangalia wakati wao wakifanya TENDO la NDOA......
Katika kudhihirisha hayo wasusika hao wanadaiwa kufanya hayo wakati wa TUKIO ambapo inaelezwa kuwa wakati wakiwa CHUMBANI wakipeana MAHABA moto moto ndipo walipokumbuka ya kuwa kulikuwa na mtoto wao huyo ambae ni wa miaka 8 tu akiwa Sebuleni akiangalia TV.... Ndipo SHETANI alipompanda mama mzazi wa mtoto na kumwamuru mtoto huyo atoke Sebuleni na badala yake aje CHUMBANI na kuangalia Upuuzi wao..... Inasemekana kuwa mama mzazi alimwambia mwane huyo kuuwa nia ya kufanya hivyo ni kumfunza jinsi ya kufanya TENDO hilo ili atakapopevuka awe anaelewa ni nini kinaendelea katika ULIMWENGU huu kwani asipomonyesha kipindi hichi hakuna tena MTU Mwingine ambae angeweza kupoteza muda wake kumfundisha...
Taarifa zaid zinadai ya kuwa mara mtoto huyo mdogo kabisa kwa shingo Upande kukubali kutiii Masharti na Amri hiyo kali aliyopewa na mama yake mzazi ndipo wawili hao walioamua kufanya kila aina ya uchafu wa MAPENZI huku wakimwonyesha mtoto wao huyo jinsi ya kufanya..... AMA kama hiyo haitoshi kitu cha kusikitisha zaidi ni pale wazazi hao walipomwamuru mtoto huyo Mdogo Ashiriki nao ili apate ujuzi zaidi... Mama mzazi ndio aliyeonekana SHETANI zaidi pale alipomwamuru mtoto huyo 'kuzilamba' sehemu zao za siri na kunyonya maji maji ambayo yalikuwa yakitoka wakati wa TENDO na kuinyonya sehemu ya siri ya Baba yake.....
Tukio hilo la kusikitisha linaonekana kuwagusa watu wengi na watu wengi wameonekana kulaani kitendo hicho kichafu kilichofanywa na wazazi hao.........
CAHNZO: Parents Force 8-year-old Daughter To Watch Them Sexing and Lick/Suck Their Privates
DENTI AMWANGUSHIA KICHAPO KIZITO KIBAKA, NUSURA AUE!!
Dec 13, 2012
Kibaka aliyetaka kumpora denti wa kidato cha sita shilingi milioni tatu akiwa hoi baada ya kupokea kichapo kutoka kwa wananchi eneo la Area Five jirani na kituo cha Oil Com kilichopo maeneo ya Nane Nane mkoani Morogoro leo.
Askari wa pikipiki maarufu kama 'Voda Fasta' walifika eneo la tukio na kumuokoa kibaka huyo asiendelee kupokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali.
Denti aliyefanikiwa kumkabili kibaka huyo, Marry Gasto (22) akiwa na begi lililokuwa na fedha hizo alizotumiwa na baba yake kama ada ya shule.
COLLAGE SPONSYIUM BASH KWA WANAVYUO WOTE WA MWANZA
Dec 12, 2012

KAMPUNI YA COCACOLA IMEANDAA BASHH KWA WANAVYUO WOTE KUTOKA MWANZA AMBAYO ITAFANYIKA TAREHE 15/12/2012 KATIKA VIWANJA VYA MALAIKA BEACH RESORT KUANZIA SAA 4 ASUBUHI HADI SAA 12 JION
KIINGILIO NI SHILING 6000/ = PAMOJA NA BITES NA DRINKS
EVENTS :
GETTING TOGETHER
GAMES KIBAOOO
CHILLING
VYUO SHIRIKI
CBE MWANZA
SAUT(MWANZA CAMPUS)
BUGANDO
MIPANGO(MWANZA CAMPUS)
TIA
IQRA
VICTORIA INSTITUTE
CRDO MINING
NGWANZA TEACHERS
CONTACT GAZAR AHMED (CBE) 0755543542
AU 0753143709
NA HUYU NDIYE MRITHI WA KANUMBA BAADA YA KUPEWA BARAKA NA MAMA MZAZI WA KANUMBA
Dec 12, 2012
MAMA wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa ametoa baraka zake kwa mwigizaji chipukizi, Philemon Lutwaza ‘Uncle D’ ambaye anatarajia kuigiza katika filamu ya After Death ambayo ni maalum kwa kumuenzi marehemu mwanaye, Imelda Mtema anashuka nayo.
Akizungumza na paparazi wetu juzikati, mama Kanumba ameweka plain kuwa ameridhishwa na uwezo wa Uncle D na anaimani kuwa ataweza kuziba pengo la marehemu katika nafasi ya kucheza na watoto wale aliokuwa akiigiza nao marehemu
Namshukuru sana Jacqueline Wolper kwa kuandaa filamu ya After Death maalum kwa ajili ya kumuenzi mwanangu. Nina imani kila kitu kitakwenda vizuri na mimi nimewapa baraka zote ,” alisema mama huyo.
chanzo:globalpublishers
Chadema wamng’ang’ania Waziri Magufuli
Dec 12, 2012
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli kueleza kama msimamo alioutoa katika kampeni za Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga ni wa Serikali au wake.Chama hicho kimesema kuwa msimamo alioutoa Magufuli wa kuunga mkono Chama cha ODM ni hatari kwa Tanzania hasa katika uhusiano na nchi hiyo na ni kinyume na mkataba wa kimataifa wa Rome.
Pia kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kueleza kama alimtuma Magufuli katika mkutano huo wa kampeni uliofanyika Desemba 7 mwaka huu, uwanja wa Kasarani na kusema Watanzania wanaunga mkono ODM au la.Msimamo huo wa Chadema ulitolewa jana na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa chama hicho, Ezekieah Wenje.
“Hatujui kama Magufuli alikwenda Kenya kama Serikali au alikuwa amekwenda kama rafiki. Hilo linatupa wasiwasi kwa kuwa hotuba yake ilionekana kama ametumwa na Serikali,” alisema Wenje na kuongeza;
“Alichukua upande katika siasa za Kenya, alimsifia sana Odinga kwamba Tanzania wanampenda wakati kuna mikataba ya kimataifa inayokataza nchi nyingine kuingilia siasa za nchi nyingine kama ilivyoelezwa kwenye Rome Statute.”
COLLAGE SPONSYIUM BASH KWA WANAVYUO WOTE WA MWANZA
Dec 12, 2012

KAMPUNI YA COCACOLA IMEANDAA BASHH KWA WANAVYUO WOTE KUTOKA MWANZA AMBAYO ITAFANYIKA TAREHE 15/12/2012 KATIKA VIWANJA VYA MALAIKA BEACH RESORT KUANZIA SAA 4 ASUBUHI HADI SAA 12 JION
KIINGILIO NI SHILING 6000/ = PAMOJA NA BITES NA DRINKS
EVENTS :
GETTING TOGETHER
GAMES KIBAOOO
CHILLING
VYUO SHIRIKI
CBE MWANZA
SAUT(MWANZA CAMPUS)
BUGANDO
MIPANGO(MWANZA CAMPUS)
TIA
IQRA
VICTORIA INSTITUTE
CRDO MINING
NGWANZA TEACHERS
CONTACT GAZAR AHMED (CBE) 0755543542
AU 0753143709
HIVI NDIVYO ALIVYO MIKE TYSON BAADA YA KUBADILISHA JINSIA KUA MWANAMKE
Dec 12, 2012
Bondia maarufu katika enzi hizo za 2000 ameamua kubadili jinsia na kuwa mwanamke .baada ya kufanyiwa modifikation kwa masaa 16 huko nchini marekani,bondia huyo ameongeza na kusema kua atafurahi kupata hedhi yake kwa mara kwanza na kusema kua anajivunia kuwa mwanamke
KICHANGA CHA TUPWA JALALANI MASHUHUDA WADUAAA
Dec 11, 2012
MWILI WA KICHANGA HICHO, UKIWA UMEFUNIKWA NA KITENGE CHA MWANAMKE ALIYEHUSIKA KUKITUPA KITOTO HICHO HAPA MWILI WA KICHANGA HICHO UKIONEKANA BAADA YA KUONDOLEWA KITENGE BAADHI YA WAKAZI WA KATA YA IYELA MTAA WA MAPAMBANO WAKIWA NA HUZUNI KUBWA BAADA YA KUFIKA ENEO KILIPOTUPWA KICHANGA HICHO MWENYEKITI...
BUS KWETU TUNAOGA HIVII.....
Dec 11, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)


.jpg)









